| Frage | Antworten | |||
|---|---|---|---|---|
|
mimi ni Marcin
|
||||
|
Ninafuraha kukutana na wewe
|
||||
|
Jina langu ni Marcin
|
||||
|
asante
|
||||
|
asante sana
|
||||
|
karibu
|
||||
|
Kamwe
|
||||
|
habari ya jioni
|
||||
|
kwaheri
|
||||
|
Shikamoo
|
||||
|
tuonane tena
|
||||
|
Unaongea Kiingereza?
|
||||
|
samahani
|
||||
|
ndio
|
||||
|
kidogo
|
||||
|
la
|
||||
|
la, siongei Kiingereza
|
||||
|
la, siongei kiswahili
|
||||
|
samahani
|
||||
|
habari za asubuhi?
|
||||
|
habari za usiku?
|
||||
|
habari za leo?
|
||||
|
habari za mchana?
|
||||
|
Habari za nyumbani?
|
||||
|
nzuri
|
||||
|
karibu
|
||||
|
Habari yako bwana? (jak Pana sprawy?)
|
||||
|
bwana
|
||||
|
karibuni
|
||||
|
hujambo?
|
||||
|
sijambo
|
||||
|
hamjambo?
|
||||
|
Hatujambo
|
||||
|
habari?
|
||||
|
habari gani? (jakie newsy?)
|
||||
|
(jak Twoje newsy?)
|
habari yako?
|
|||
|
habari zenu?
|
||||
|
Nzuri kabisa
|
||||
|
hujambo?
|
||||
|
sijambo
|
||||
|
hamjambo?
|
||||
|
hatujambo
|
||||
|
ndoto yangu ni...
|
||||
|
nina miaka...
|
||||
|
kazi yangu ni...
|
||||
|
ninafanya kazi kama...
|
||||
|
una miaka mingapi?
|
||||
|
una umri gani?
|
||||
|
unapiga mswaki mara ngapi kwa siku?
|
||||
|
unatoka wapi?
|
||||
|
hii inaitwaje?
|
||||
|
Unaitwa nani?
|
||||
|
Jina lako (ni) nani?
|
||||
|
Unaishi wapi?
|
||||
|
uko wapi?
|
||||
|
Wewe ni nani?
|
||||
|
Unaenda wapi?
|
||||
|
Ulizaliwa mwaka gani?
|
||||
|
Ulizaliwa lini?
|
||||
|
Ulizaliwa lini?
|
||||
|
Umeoa?
|
||||
|
Umeolewa?
|
||||
|
Una mtoto/watoto?
|
||||
|
Una watoto wangapi?
|
||||
|
czym się zajmujesz w życiu?
|
Unafanya nini?
|
|||
|
Unataka nini?
|
||||
|
Unapenda nini?
|
||||
|
Unapenda kufanya nini?
|
||||
|
Kwa nini unajifunza Kiswahili?
|
||||
|
ile to kosztuje?
|
Bei gani?
|
|||
|
Shilingi ngapi? (shingapi?)
|
||||
|
Dola ngapi?
|
||||
|
Kuna watu wangapi?
|
||||
|
gari gani?
|
||||
|
mtu gani?
|
||||
|
Lini utatembelea Tanzania?
|
||||
|
mambo vipi?
|
||||
|
Unapenda kusikiliza, kuimba au kucheza muziki?
|
||||
|
"what do you mean?
|
Unamaanisha nini? / Inamaanisha nini?
|
|||
|
dosł: jakie to ma znaczenie?
|
Ina maana gani?
|
|||
|
sijui
|
||||
|
nimeelewa
|
||||
|
sijaelewa
|
||||
|
lala salama
|
||||
|
kila la heri
|
||||
|
tutakutana siku nyingine
|
||||
|
habari za saivi
|
||||
|
tayari!
|
||||
|
twende
|
||||
|
kwa mfano
|
||||
|
basi
|
||||
|
hata wewe?
|
||||
|
kwa maana ya...
|
||||
|
maana ya...
|
||||
|
fanya haraka!
|
||||
|
oni rozśmieszają
|
Wanachekesha!
|
|||
|
Ty rozśmieszasz
|
Unachekesha!
|
|||
|
to rozśmiesza
|
Inachekesha!
|
|||
|
hasa / haswa / hasa hasa
|
||||
|
bila shaka!
|
||||
|
inategemea...
|
||||
|
ningeweza kwenda safari moja...
|
||||
|
samahani kwa usumbufu
|
||||
|
naomba samahani
|
||||
|
nisamehe!
|
||||
|
tafadhali nisamehe
|
||||
|
usijali!
|
||||
|
bila samahani
|
||||
|
ninaomba msaada
|
||||
|
pole
|
||||
|
pole sana
|
||||
|
uko sawa?
|
||||
|
ninaomba nisaidie
|
||||
|
Tafadhali, naomba kujua jinsi ya kufika Mombo
|
||||
|
hodi (hodi hodi)
|
||||
|
karibu ndani
|
||||
|
shukrani (sana)
|
||||
|
kila la heri
|
||||
|
ninakutakia safari njema
|
||||
|
unaweza kunisaidia tafadhali?
|
||||
|
ninaumwa
|
||||
|
mungu akubariki
|
||||
|
hii hapa!
|
||||
|
kata/kunha kulia
|
||||
|
kata/kunja kushoto
|
||||
|
tahadhari!
|
||||
|
dosł. praca się skończyła
|
kazi imekuisha
|
|||
|
nimechelewa
|
||||
|
afadhali...
|
||||
|
ni bora...
|
||||
|
sharti Sharti nisome
|
||||
|
uko bize?
|
||||
|
Ni jambo la kuvutia!
|
||||
|
ninapokuwa frii...
|
||||
|
Utakuwa na nafasi saa ngapi?
|
||||
|
nilifanikiwa
|
||||
|
sikufanikiwa
|
||||