| Frage | Antworten | |||
|---|---|---|---|---|
|
ghafla
|
||||
|
haraka
|
||||
|
kabisa
|
||||
|
taratibu
|
||||
|
kizungu
|
||||
|
kipumbavu
|
||||
|
kiaskari
|
||||
|
kiume
|
||||
|
kikondoo
|
||||
|
kizee
|
||||
|
vizuri
|
||||
|
vibaya
|
||||
|
vigumu
|
||||
|
vingine
|
||||
|
Simba alikufa ghafla.
|
||||
|
Wataimba pamoja.
|
||||
|
Ameandika vibaya
|
||||
|
Nitatengeneza pesa vingine.
|
||||
|
Ninapenda kula kizungu
|
||||
|
Alijibu maswali kipumbavu.
|
||||
|
upesi
|
||||
|
upande
|
||||
|
upya
|
||||
|
wima
|
||||
|
Simama wima.
|
||||
|
Gari lile limekwenda upande.
|
||||
|
sawasawa
|
||||
|
vilevile
|
||||
|
mojamoja
|
||||
|
mbalimbali
|
||||
|
kisirisiri
|
||||
|
katakata
|
||||
|
nyatunyatu
|
||||
|
Nilimwambia kisirisiri
|
||||
|
kwa ghafla
|
||||
|
kwa haraka
|
||||
|
kwa kusudi
|
||||
|
kwa kifupi
|
||||
|
kwa bahati
|
||||
|
kwa sauti
|
||||
|
kwa siri
|
||||
|
kwa ndege
|
||||
|
kwa shida
|
||||
|
kwa nguvu
|
||||
|
Nilimwoa kwa siri.
|
||||
|
Kwa bahati, nilifaulu
|
||||
|
kupumzika fofofo
|
||||
|
kunuka fee
|
||||
|
kuanguka pu
|
||||
|
kufa fofofo
|
||||
|
Yaya atapumzika fofofo
|
||||
|
Walitembea kiaskari.
|
||||
|
Wanakijiji walisafiri kwa miguu.
|
||||
|
chini
|
||||
|
katikati
|
||||
|
kimondo, vimondo
|
||||
|
Kimondo kilianguka katikati ya ziwa.
|
||||
|
Unyang’anyi utatokea mbali.
|
||||
|
zamani
|
||||
|
mara pale pale
|
||||
|
mnamo
|
||||
|
huku
|
||||
|
Alisoma gazeti huku anakula.
|
||||
|
Mara pale pale, alizimia.
|
||||
|
Tunatarajia kurudi mnamo saa moja
|
||||
|
.
|
||||
|
.
|
||||
|
.
|
||||
|
mara moja
|
||||
|
mara tatu
|
||||
|
mara ya kwanza
|
||||
|
mara chache
|
||||
|
mara nyingi
|
||||
|
Nilitoa sadaka mara chache mwaka uliopita.
|
||||
|
Tunasafiri mara ya kwanza kwa ndege.
|
||||
|
Aliiba tena.
|
||||
|
Mara nyingi, kompyuta haifanyi kazi.
|
||||
|
Nilikwenda duka la maua lile mara moja tu.
|
||||
|
Hii ni mara ya mwisho utapata bonasi.
|
||||
|
mno
|
||||
|
kiasi
|
||||
|
Kahawa ilikuwa moto mno.
|
||||
|
Alikuwa na akili sana.
|
||||
|
Nimewahi kabisa.
|
||||
|
Mteja hakuwa na sababu kabisa.
|
||||
|
Tiara iliruka kwenda juu kiasi
|
||||
|
Kwa kweli, ulinunua mashati saba?
|
||||
|
Wao walipata sifa nyingi kwa ajili ya ugunduzi wao.
|
||||